Tuesday, 9 December 2014

MIAKA 53 YA UHURU YASHEREHEKEWA KWA AINA YAKE.,.

Hazina nao wamesherehekea maadhimisho hayo katika viwanja vya TCC chang'ombe jijini Dar es alaam.


Watu mbali mbali walihudhulia sherehe hizo ambazo zaidi zilipambwa na burudani.

Mkuu wa kitengo cha mawasiliano katikati akitoa buruduni

No comments:

Post a Comment