|
Mch Justine Misigaro Fpct Tandale Tanesco jijini Dar |
Baada ya kumaliza Ibada tulielekea Beach lengo kuu ilikua ni ziara ya kwenda kujifunza juu ya uumbji wa Mungu,ikua ni baraka saana na furaha huko wanaume,wanawake,vijana na watoto walikuwepo, Mafunzo ya NENO LA MUNGU yalikua mazuri saana. Mungu awabariki viongozi wa kanisa la Fpct Tandale Tandale Tanesco Daresalam..
No comments:
Post a Comment