WATU TISA WAFARIKI NA AJALI YA GARI HUKO MOROGORO
Zaidi ya watu tisa wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa
vibaya baada ya Basi la Super Aljabir linalofanya safari zake kati ya
Morogoro kugongana na Treni maeneo ya
kiberenge karibu na Ifakara Morogoro jioni hii .Ajali hiyo imetokea wakati basi
likijaribu kuwahi kuvuka reli kabla ya treni kupita
TAARIFA ZAIDI ITAKUIJIA HIVI PUNDE
No comments:
Post a Comment