Matukio ya kujilipua na kujitoa mhanga nchini Nigeria yanaendelea kushika kasi, Ambapo mwanake mmoja nchini humo amejilipua katika chuo cha mafunzo kaskazini mwa Nigeria.
Mashuhuda wanasema bomu hilo lilipuka wakati mwanamke huyo alipokua akijiandaa kuingia katika ukumbi ulio jaa wanafunzi Kantagora,. Idadi ya majeruhi na walio fariki bado haija fahamika,ingawa shuda mmoja amesema miili ya watu wa nne ameiona.
Matukio hayo yanaendelea huku kikundi cha Boko haramu kikiendeleza mapigano dhidi ya serikali ya Nigeria. Mapigano hayo sasa yamedumu kwa miaka mitano.
Serikali ya Nigeria bado ina jukumu kubwa kuhakikisha wanakaa pamoja ilikumaliza mzozo huo unaendelea,ilikuwanusuru Raia wanaoendelea kupoteza uhai na wengine makazi...

No comments:
Post a Comment