Mch Joram J. Ntaseha-FPCT TEGETA |
Mchungaji Joram J. Ntaseha wa kanisa la FPCT TEGETA-Machinjioni kwa kushilikiana na umoja wa akina baba wa kanisa,Wanakukaribisha kwenye semina ya neno la Mungu.Inayo wahusu akina baba wote.
Semina hiyo itafanyika tar 07/12/2014 saa 8;00 mchana
.Walimu kutoka nje na ndani ya kanisa hilo watakuwepo.
Masomo yatakayo fundishwa ni pamoja na;-
1/ Wajibu wa baba/mwanaume katika familia.
2/ Malezi bora kwa watoto huanza kwa baba n.k
Jinsi ya kufika Ukitokea Bagamoyo,Bunju au Mwenge, shukia Tegeta kwa Ndevu. Uliza mtu yeyote Machinjio ya Tegeta ukifika hapo uliza mtu yeyote kanisa la Fpct tegeta atakuonesha au piga 0765032762
Chakula na vinywaji vitakuwepo siku hiyo.
Wababa wooote mnakaribishwa kwene SEMINA hiyo
No comments:
Post a Comment