Baadhi ya wananchi nchini Tanzania wameishauri serikali ya nchi hiyo hasa wizara ya maliasili na utarii idara ya wanyama poli,wwache kutaja idadi ya thamani ya pesa ya pembe za ndovu pindi wanapokua wamewakamata MAJANGILI.
Akizungumza na chombo hikiambaye ni mkazi wa jijij la Daresalam bw Hossea Gabilo, Alisema
Maisha ya mtanzania kwa sasa yamepanda saana kiasi kwamba wapo watu naoishi kwa kiwango cha chini ya dora moja kwa siku,mlo mmoja na wengine kukosa kabisa chakula cha siku.Kwa maana hiyo sasa mtu huyo anapo sikia pembe 3 za ndovu zimekamatwa ambazo ni sawa na milion labda 20 na akiangalia hana la kufanya , bas moja kwa moja ata hamasika kuingia polini na kuanza kufanya uharifu huo au anakua tayari kutumiwa na mtu yeyote,.
Katika hali hiyo hiyo tena ndg Benjamin Mtei ambaye ni mkazi wa Arusha Tanzania alisema, Kutangaza hadharani thamani ya pembe za ndovu ni sawa na kufanya matangazo ya kibiashara dhidi ya wanyama wetu,kwamba ni sawa na kumptisha mbuzi karibu na simba mwenye njaa kali..
Kitengo cha kuzuia na kupambana ujangiri kinapokua kimekamata wahusika basi watangazwe wao na adhabu yao na si kutaja dhamani ya ngozi,pembe,kucha au kitu chochote kilichotiwa nguvuni. alisema bw Raymond Manjama, mkazi wa temeke Daresalaam tz..

No comments:
Post a Comment