Siku ya jumapili ya tarehe 18/01/2015 ilikuwa ni siku ambayo kulikuwa na ibada maalum ya sifa na kuabudu kanisa la fpct tegeta hakika ilikuwa ya kipekee sana ...ibada hii iliandaliwa na idara ya vijana kanisa la fpct tegeta
praise& worship team fpct tegeta wakimwadhimisha Mungu
waimbaji wa nyimbo za injili Kutoka kulia ni Gazuko junior na Crispin Challe wakiteta jambo kabla ya kupanda kwenye stage
hapa ilikuwa ni zamu ya kumuabudu mungu
kutoka kushoto ni Mkurugenzi msaidizi wa idara ya vijana kanisa la fpct Tanzania akiwa pamoja na viongozi wa idara ya vijana mission ya msanga na hapa alikuwa anatoa neno kwa vijana
kutoka kulia ni mwimbaji Gabilo Hosea akiteta jambo na Baba Ima
sifa na kuabudu mwanzo mwisho
Mc modo Hossein Gabriel ndiye alikuwa kiongozi wa ibada hiyo maalum
kijana Daniel akifanya ufundi kwenye upande huu
Bwana shuka na nguvu zako ututembelee
mch Joram Jeremiah (fpct tegeta)

mlitisha sana jamani Mungu awabariki
ReplyDeleteHongereni saana. Mungu awabariki wapendwa.
ReplyDeleteMmbarikiwesaana.
ReplyDelete