Friday, 27 February 2015

KARIBU KWENYE SEMINA YA NENO LA MUNGU NA MAOMBEZI KANISA LA FPCT BOKO KWA MPEMBA

kanisa la fpct Boko kwa mpemba jijini Dar es salaam wanakukaribisha kwenye semina ya Neno la Mungu N a maombezi inayoendelea kanisani hapo kila siku kuanzia saa 9:00 Jioni mpaka Saa 12 :30 jioni kumbuka semina hii ilianza siku ya jumatatu tarehe 23 na itahitimishwa siku ya Jumapili Tarehe 01.3.2015 Kumbuka watumishi wa Mungu wa kimataifa kutoka Uingereza na Mchungaji mwenyeji Pastor Elijah Mtishibi wanafundisha neno L a Mungu pamoja na kufanya maombezi njoo ukutane na muujiza wako  kwa sababu zimebaki siku mbili pekee siku ya kesho jumamosi na Jumapili
Mchungaji mwenyeji Mch. Elijah Mtishibi  akifundisha Neno la Mungu ..Semina ni ya baraka sana

                  mchungaji kiongozi kanisa la fpct parishi ya tegeta mch. Joram Jeremiah
                                              mchugaji Elijah akifanya maombezi


                                               Mwimbaji Kepha Jackson akitoa huduma

                                                     Jerusalem Choir wakitoa huduma



3 comments:

  1. (kwa machozi) Baba Mungu Akutie nguvu kakangu mkubwa, babangu Baba Elijah Mtishibi

    ReplyDelete
  2. mungu akutie nguvu mtumishi Elijah

    ReplyDelete