Wednesday, 11 February 2015

HII SI YA KUKOSA;NI MIAKA 4 YA TING NA BURUDANI YA VALENTINE DAY.

Katika kusherehekea miaka 4 ya TING,Wamekuandalia Burudani ya kukata na Mundu kama si Shoka.
 Sherehe hiyo itafanyika SIKU YA WAPENDAO(VALENTINE DAY). Tar 14/02/2014 kuanzia saa 12;00 jioni na kuendelea.

     Mahali;
Katika ukumbi wa Studio za ATN Mbezi Beach Jogoo jijini Dar es salaam.
           Waimbaji,wachekeshaji,waigizaji,nao watakuwepo siku hiyo. usiache kuja na umpendae kwani zawadi mbaalimbali zitatolewa.  Hakuna kiingilio ni BUREEEE..
Sasa jipatie KING'AMUZI CHA TING HD kwa shilingi elfu nne tu za kitanzania(4000)
  Vigezo na Mashart kuzingatiwa,. Kwa maelezo zaidi piga 0684/0653/076-999230 Huduma kwa wateja. TING BORA KULIKO

No comments:

Post a Comment