|
Watumishi wa idara ya mamlaka ya chakula na dawa nchini Zanzibar wakijiandaa kuteketeza baahi ya bidhaa zilizo kutwa zikiwa hazina ubora. |
Oparesheni ya kutokomeza bidhaa zote zilizopo madukani ambazo zimepita muda wake na kuangamiza bidhaa zote amabazo hazina ubora kwa afya ya binadamu, mamlaka ya chakula na dawa nchini Zanzibar imeanza kwakutembelea duka kwa duka kuhakikisha ubora wa bidhaa zilizopo kama zinaubora, na kuziteketeza bidhaa zote zisizo na ubora. Mamlaka hiyo mpaka sasa imebaini idadikubwa ya bidhaa zilizo isha mudawake na hazina ubora wa matumizi kwa afya ya binadamu.
No comments:
Post a Comment