Akiwa katika harakati za kurekodi albamu ya video mwimbaji Nguri nchini Kenya Peace Mulu ndipo masahibu haya yalimkuta baada ya kupata ajali mbaya na sasa amelazwa katika hosptali ya KENYATA nchini humo, huku akisubilia kufanyiwa upasuaji wa Mguu wake ulio vunjika..
Wadau,wapenzi na watu wote kwa ujumla tuendelee kumuombea kwa Mungu ili amponye haraka na kumpunguzia maumivu ya mwili,, Endelea kuomba juu ya mwimbaji huyu.
Mungu akubariki
Sehemu ya uso ya mwimbaji PEACE MULU iliyo jeruhika. |
Picha ya mguu wa pili wa mwimbaji Peace Mulu alivyo umia |
Miguu miwili ya mwimbaji PEACE MULU ilivyo umia hasa mguu wakushoto uliumiazaidi mpaka mfupa wa paja lake ulivunjika,. |
Mungu akuponye mapema haraka..
ReplyDeleteMungu amponyed
ReplyDeletemungu amsaidie
ReplyDelete