Ibada ilifanyika tar 03/01/2016 ilikua ni ibada ya sifa na shukrani kwa Mungu kwa kuumaliza mwaka 2015 salama na kumtaka Mungu azidi kuwa nasi katika mwaka 2016. Ibada hii iliandaliwa kwa ushirikiano wa Makanisa mawili ya FPCT BOKO -KWA MPEMBA chini ya MCH ELIJAH MTISHIBI na kanisa la FPCT TEGETA-MACHINJIONI linalo chungwa na Mch J.J. NTASEHA.
Hawa ni sehem ya waimbaji wa sauti ya pili wakiimba. |
Mwl Gabilo Hosea akiongoza moja ya wimbo wa Kuabudu. Nyuma ni kundi zima la sifa na kuabudu. |
Kijana John Gabriel/Saranda akiongoza wimba wa kuabudu. |
Wapigaji wa kitaa la Base na Solo naopia walikuwa wakimpigia Mungu kwa ubora wa hali ya juu sana,. |
No comments:
Post a Comment