Hata iweje hakuna mtu atakae weza kuziba pengo la mtumishi wa Mungu dr MYLES alikua ni mtu mwenye kujari,kujitoa na kuthamini wengine. ALikua yuko tayari kutumia mali,muda,na ujuzi wake kwa manufaa ya wengine.
Laitikama usku wa tar 9/11/2014 mtu yeyote angejua kwamba ni usiku uliobeba mabadiliko makubwa ya historia ya mtumishi huyu basi jitihada za makusudi zingefanyika ili kuhakikisha Watumishi Bw&Bi MYLES na mtoto wao Kipenzi wanabaki salaama. Lakin kwakua Mpango wa Mungu ni tofauti na wa mwanadamu,basi Mungu mwenyewe alipenda kufanya hivyo.
Watanzania tuta watamkumbuka saana kwani ilikua ni wiki moja tu kabla ya kifo chake alikua jijini Daresalam ambapo alikua na semina kubwa ya neno la Mungu.. utakumbukwa daimaa..

No comments:
Post a Comment