MUNGU AKUBARIKI SANA ULIYEHUDHURIA KWENYE MAOMBI Mungu awabariki watu wote ambao walijitokeza kwenye maombi ya siku tatu hapa kanisani fpct tegeta yaliyofanyika kuanzia siku ya jumatatu na kuhitimisha siku ya jana jumatano, maombi yalikuwa na lengo la kuwaombea wagonjwa wote wanaoteswa na magonjwa mbalimbli hakika naamini kupitia maombi haya Mungu amewafungua Zilikuwa ni siku tatu za kufunguliwa na aliyehudhuria maombi lazima atakuwa amekutana na kitu cha tofauti kabisa Mimi kama mchungaji wa kanisa la fpct tegeta nawashukuru sana wale wote waliochukua muda wao na kuja kujumuika pamoja katika maombi haya Mungu wa mbinguni awabariki sana.
Mchungaji wa kanisa la fpct tegeta, Joram Jeremiah Ntaseha
No comments:
Post a Comment