Hali ya kisiasa kaitika chama tawala chaNchi ya Zambia (PF) kinaendelea kuonesha Sura mpya katika uringo wa kisiasa baada ya kumtimua Rais wa muda wa nhi hiyo aliye kua akiendelea kushikilia nafasi hiyo kwa muda kufuatia kifo cha aliyekua rais wa nchi hiyo bw Sata
Tukio hilo limemkuta bw Guys Scott ambaye anakabiliwa na matukio mbali mbali yakiwemo ya kujichukulia maamuzi binafsi na kuwafukuza wafanyakazi ovyo na matumizi mengine ya pesa zi sizo na maelezo.
Bw Guys Scoutmakam wa rais aliyetimliwa madarakani. |
Taarifa zinaendelea kusema licha ya kukumbwa na mkasa huo Bw Scott ataendelea kukaim kiti hicho cha uenyekiti wa chama mpaka hapo januari 20 mwakani ambapo uchaguzi wa rais utakapo fanyika.
No comments:
Post a Comment