Saturday, 15 November 2014

MCH JORAM NTASEHA ATOA SALAMU ZA POLE KWA FPCT JIMBO LA KASULU KIGOMA

Mchungaji JORAMU J. NTASEHA wa kanisa la FPCT TEGETA anatoa  pole kwa familia,kanisa la fpct taifa,waumini woote na majirani kwa kupatwa na pengo kubwa la kufiwa na aliye kuwa mwangalizi mstafu wa makanisa la fpct jimbo la Kasulu mjini na Msambala  Mch ANTHONY BUNGWA. Kifo hicho kilichotokea asubuhi ya leo. Kanisa litamkumbuka kwa kazi yake ya utumishi makini na wenye kujitoa kwa mali na nguvu zake zote bila ya kujali umbali wa kuipeleka huduma,ufunguzi na usimamizi wa matawi ya kanisa la fpct kwa misheni hizo ni miongoni pia mwa kazinjema zitakazo kumbukwa. Ushauli wake na mawazo bado kanisa tulikua tunavihitaji.
      Mungu wambinguni aendelee kutoa faraja zaidi kwa familia,kanisa la mahali la Kausulu,Msmabala na kanisa la fpct Taifa.

Mch Joram J Ntaseha fpct tegeta
                 Ni kweli tulimpenda lakni  BWANAwetu wa mbinguni ameona ni vema amtwae hatuna la kusema zaidi ya kusema jina la BWANA libarikiwe.. 

No comments:

Post a Comment