Sunday, 21 September 2014

TAZAMA PICHA ASKOFU REVERT KAMONONGO ALIVYOKUWA KWENYE HUDUMA LEO KANISA LA FPCT TEGETA

Leo ibada ya pili kanisa la fpct Tegeta machinjioni ilikuwa ya baraka  sana askofu wa jimbo la pwani Revert Kamonongo alihubiri na kufanya maombezi kiukweli watu wamebarikiwa Sana......... Mungu akubariki sana baba askofu wanao tunakupenda sana
 kushoto ni askofu kamonongo akiwa na mchungaji wa kanisa la fpct tegeta  mch.Joram jeremiah
                                 Askofu Revert kamonongo akisubiri kufundisha neno la Mungu

                                    hapa askofu kamonongo akifanya maombezi

                                                          ilikuwa ni zaidi ya baraka


 askofu kamonongo akiifanyia maombi maalum Idara Ya habari na mawasiliano kanisa la fpct tegeta



No comments:

Post a Comment