Kanisa la pentekoste FPCT TEGETA JIJIN DAR SALAM TZ, Linatoa pole kwa ndg,jamaa na marafki wote waliopotelewa/kufiwa na ndg wao wa karibu kwenye ajali iliyo tokea jana wilayani msoma butiama.. Ajari hiyo iiliyo husisha magali mawili ya abilia (mabasi ya abilia)kugongana uso kwa uso amabapo ina semekana mpaka hivi sasa zaidi ya watu 59 wamepoteza maisha wengne wengi kujeruhiwa.. Mungu wape faraja watu wa mkoa wa Mara na Watanzania wote kwa ujumla katika kipindi hiki kigumu cha msiba huu.
No comments:
Post a Comment