Saturday, 6 September 2014

TAZAMA PICHA KONGAMANO LA KINA MAMA LA FPCT TAIFA WAMAMA WAMEJITOKEZA KWA WINGI KILA KONA YA TANZANIA

KONGAMANO LA KINA MAMA FPCT TAIFA
DODOMA!.. Haya sasaaaa!!. Kama tulivyo ahidi kuendelea kukujuza kila kinacho jili mjini Dodoma kuhusu kongamano la wanawake Fpct Taifa, leo ni siku ya nne ya kongamano hilo na mambo yanaendelea kuwa motomoto yaani una ambiwa asiye na mwana aeleke jiwee! Watu wengisaana wamehudhulia,ina kadiliwa ni watu zaidi ya 1400, Na mwandishi wetu Happyness Mosha kutoka Dodoma.




                             Huyu ndiye mwenyekiti msaidizi idara ya kinamama fpct taifa

                                               Huu ulikuwa wakati wa kumsifu Mungu



                                                  bendi ya kina mama kutoka Arusha


                                Mwalimu ambaye amefundisha somo la kwanza kwa siku ya leo

No comments:

Post a Comment