Wednesday, 31 December 2014

MAMLAKA YA HARI YA HEWA YATOA TAHADHALI JUU YA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA NCHINI

Kukiwa kunaeendelea kulipotiwa matukio ya matokeo  na madhara tofautitofauti ya mvuakubwa zinazo endelea kunyesha hapa nchiniTanzania, mamlaka ya hali ya hewa imewataka watanzania kuchukua tahadhali ju ya mvua hizo zinazo nyesha sasa kwamba zaweza kutokea mvua kubwa za vipindi tofauti tofauti hivyokuwa makini na vipindi hivyo.

Akiendelea kutoa tahadhali mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya hali ya hewa nchini(TMA) Dr Agness Kijazi alisema ''Kutokana na mifumuko ya hali ya hewa inatarajia kusababisha vipindi vya ongezeko la mvua katika baadhi ya maeneoya Magharibi, kwenye mika ya Nyanda za juu kusi-magharibi na mikoa ya kusini mwa nchi kuanzia Januari na februali 2015''.

Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya hali ya hewa nchini (TMA) Dr Agness Kijazi (kulia) akizungumza na wandishi wa habari ofsin kwake.
Pia dr Kijazi amewataka watanzania kufuatilia vyombo vya habari na mamlaka ya hali ya hewa ili waweze kujua kitakachokuwa kinalipotiwa kutoka kwenye mamlaka ili wachukue tahadhali mapema.

No comments:

Post a Comment