Ushauri huo umetolewa na Askofu wa makanisa ya fpct jimbo la Pwani na misheni ya Msanga akofu Revert Kamonongo wakati alipokua katika kanisa la fpct Tegeta ambapo alipachagua kufanya ibada ya pamoja ya kufunga mwaka 2014 na washilika wa kanisa hilo.
Akizungumza na mwandishi wetu Askofu Kamonongo amesema Taifa linapopita katika misukosuko ya kisiasa,uchumi,vita,magonjwa, na mambo mengine kama hayo, wakristo hawapaswi kunung'unika wala kuwalaumu watu baadhi,kwani anachokiamni ni kwamba Kanisa lina nafasi kubwa ya kumuomba Mungu ili aweze kuyabadilisha mambo ambayo wanayaona kuwa hayawezekani,Mungu hashindwi na jambo lolote hivyo kila kinachoendelea yeye anakiona hivyo anasubiri tumkubushe''alisema askofu Kamonongo
Pamoja na hayo askofu Kamonongo aliendelea kusema kuwa umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu, Wakristo wote tuungane tuendelee kuwaombea baadhi ya viongozi wanao fanya kazi za jamii kinyume na maadili kwani wana mkosea Mungu na jamii nzima ya watanzaia, wao wameaminika na watanzania wote iliwatekeleze majukumu yao,badala yake imekua kinyume na matokeo yake watanzania wanaishi katika maisha ambayo si sitahili yao. Tukiungana kwa pamoja na tukaonesha juhudi zaidi katika matendo Mungu ata tusaidia na kutuokoa na mabaya.
Mwisho kabisa Askofu Kamonongo amewatakia watu wote kila la kheri katika mwaka 2015 uwe wenye baraka na neema tele na akawasihi waendelee kusherehekea kwa upendo umoja na amani sherehe za kuelekea mwishoni mwa mwaka2014
|
Askofu KAMONONGO (kushoto)akimueleza kitu flani hapa mch JORAM NTASEHA. |
|
ASKOFU KAMONONGO AKIWASALIMU WAMINI. |
|
Sehemu ya wainini wakiwa wanamsiliza kwamakini Askofu Kamonongo |
|
Waunini wakinyosha mikono yao juu kuonesha ishara ya kukubalina na alicho kisema Askofu Kamonongo,alipo uliza wangapi wana amini kwamba Mungu anaweza yote? |
|
Askofu Kamonongo na mch Ntaseha wakimfanyia maombi ya Baraka mtoto ANNA(10) aliye amua umpamaisha Yesu kristo kwahiyari yake mwenyewe,. |
No comments:
Post a Comment