Tuesday, 16 December 2014

FAHARI YA VIJANA NI NGUVU ZAO

Idara ya vijana wa kanisa la FPCT TEGETA inawakaribisha watu wote kwenye sikukuu ya vijana  itakayofanyika jumapili hii ya Tar 21/12/2014  Kuanzia saa 3;00 asubuhi na kuendelea,
Mahali ni katika kanisa FPCT TEGETA -MACHINJIONI.
       
   Mgeni Rasmi, pia na waimbaji mbalimbali watakuwepo siku hiyo ni  JAILOS BAND, DICKS NYOMEYE, NURU KWAYA  NA JELUSALEMU KWAYA. 
 Pia michezo ya kuigiza,nyimbo,uchekeshaji,mashindano ya kusoma biblia vitakuwepo sikuhiyo.
   Chakula na vinywaji vitakuwepo pia.. 

Hakika hii si ya kukosa,, Mtaarifu na mwingine.

Wote mnakaribishwaa.. 

                            Imetolewa na 
                                 FRANK C. GIBEBE.
                                      Mwenyekiti idara ya vijana kanisa la fpct tegeta.. 
                                   

No comments:

Post a Comment