Wednesday, 10 December 2014

KUTOKA NDANI YA BANDA LA CHIPS MPAKA KULA BATA NDANI YA IKULU YA JAKAYA.

Ndg Kassim Said Kassim, Jana ametunukiwa nishani ya ushupavu na Dr Jakaya Mrisho Kikwete raisi wa jamuhuri wa tanzania baada ya kuokoa uhai wawatu walikua ndani ya banda lake la chipsi wakati wlipo vamiwa na Jambazi aliye kuwa akiwataka watuwote wliokua ndani ya banda hilo watoepesa.

 Baada ya kutoa amri jambazi huyo kwa watuwaliokuwapo humo,hawakumjali waliendelea na shughuli zao,ghafla tu jambazi huyo akachomoa bastora na kupiga juu ndipo bwana Kassim akachukua chepe na kumnyemelea kimyakmya na kumpiga kichwani...
 
Hivyo sasa kwa ushujaa huo wa kujitosa na kupambana ili kuokoa uhai wake na wa wengine,
KASSIM S. KASSIM (kulia) akitunukiwa nishaniya ushujaa na Dr JAKAYA M. KIKWETE RAISIWA TANZAINIA (jana ikulu jijini daresalama) 

No comments:

Post a Comment