Monday, 29 December 2014

KARIBU KWENYE IBADA MAALUM YA KUMSHUKURU MUNGU. 2014-2015

Mchungaji wa kanisa la fpct Tegeta mch Joram Ntaseha  na waumini wa kanisa hilo wanawakaribisha watu wote kwenye ibada maalum ya kumshukuru Mungu itakayofanyika kuanzia tar 31/12/2014 saa 2;30 usiku mpaka saa 6;30 usku. Kisha mwendelezo wa ibada hiyo utafanyika tar 01/01/2015alhamisi asubuhi kuanzia saa 09;00 - 01;00 mchana. Katika ibada ibada zote hizo kutakuwa ni kumsifu Mungu na kumwabudu huku tukimshukuru mungu kwa matendo yake makubwa aliyo yatenda katika kipindi chote cha mwaka 2014..


           Karibu tumshukuru Mungu kwa pamoja, wote mnakaribishwa.

No comments:

Post a Comment