|
Hapa dua zilikua zikiendelea. |
|
Picha ya pamoja ya baadhi ya viongozi wa diniwakiwa Rais KIKWETE. |
Viongozi wa dini mbalimbali za hapa nchiniTanzania walifunga safari mpaka ikulu disemba 10/2014 wakiwa na lengo la kumfanyia dua na kumpa pole Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete. Ikiwa ni wiki chache zimepita tangu atoke nje ya nchi alikokua akifanyiwa matibabu..
No comments:
Post a Comment