Monday, 8 December 2014

MABEHEWA MAPYA NEEMA MPYA KWA USAFIRI WA RELI YA KATI.

Waziri wa uchukuzi Dr Harrison Mwakyembe amepokea sehemu ya mabehewa ya kisasa yatakayo tumika kuboresha usafiri Reli ya kati ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mpamgo wa matokeo makubwa sasa(BRN) Katika mapokezi hayo Dr, Mwakyembe amesema huu nimwendelezo na dalili njema za kuboreshwa kwa usafili wa treni wa reli ya kati ambapo ule usumbufu wa mwanzo utapungua kwa kiwango kikubwa' alisema.

Sehemu ya ndani ya mabehewa mapya
Pichani kulia ni DR HARRISON MWAKYEMBE.

No comments:

Post a Comment