Mwenyekiti wa Idara ya vijana kanisa la FPCT PARISHI YA TEGETA anawakaribisha watu woote kwenye ibada ya sifa na maombezi itakaykuwa ikikamilisha ratiba ya mikesha ya kila mwisho wa mwezi.,.
Ibada hiyo itafanyika ijumaa hii tar12/12/2014 SAA 2;300 USIKU na kuendelea .Mahali ni katika KANISA LA FPCT TEGETA-MACHINJIONI.
Neno la msingi la kuongoza maombi hayo ya nguvu lita ongozwa na MCH, JORAM J NTASEHA-FPCT TEGETA MACHINJIONI.
Pia waimbaji watakao kuwepo ni JELUSALEM KWAYA , NURU KWAYA, GABILO HOSSEA, DICKSONI NYOMEYE nawengine wengi...
Jinsi ya kufka ikiwa unatokea Bagamoyo,Bunju,Mbezi beach au Mwenge panda gari lolote shukia Kwa Ndevuu kisha uliza Machinjioni,ukisha fika hapo basi utakua umefika kanisani si mbali kutoka Machinjio ya Tegeta,..
Njoo wewe na mwingine ilitukusanyike kwa pamoja tumwaabudu na tumuombe MUNGU wetu aliye hai. Hakika ukija hautakua kama ulivyokua. Wotee,Woote,Woootee mnakribishwa.
Ibada hiyo itafanyika ijumaa hii tar12/12/2014 SAA 2;300 USIKU na kuendelea .Mahali ni katika KANISA LA FPCT TEGETA-MACHINJIONI.
Neno la msingi la kuongoza maombi hayo ya nguvu lita ongozwa na MCH, JORAM J NTASEHA-FPCT TEGETA MACHINJIONI.
Pia waimbaji watakao kuwepo ni JELUSALEM KWAYA , NURU KWAYA, GABILO HOSSEA, DICKSONI NYOMEYE nawengine wengi...
Jinsi ya kufka ikiwa unatokea Bagamoyo,Bunju,Mbezi beach au Mwenge panda gari lolote shukia Kwa Ndevuu kisha uliza Machinjioni,ukisha fika hapo basi utakua umefika kanisani si mbali kutoka Machinjio ya Tegeta,..
NDG FRANK C ,GIBEBE Mwenyekiti idara ya vijana PARISHI YA TEGETA. |
No comments:
Post a Comment