Zikiwa zimepita siku chache tu tangu Raisi Kikwete amvue uwaziri Mh Anna Tibaijuka, Baadhi ya wananchi wa mkoa wa Kagera wameupokea kwa hisia tofauti tofauti utenguzi wa waziri wa nyumba,Ardh, nyumba na makazi.kufuatia tuhuma za upokeaji wa pesa kutoka kwenye akaunti ya Tegeta Escrow,amabapo Waziri Tibaijuka alipokea kiasi cha zaidi ya bilioni moja nukta tano.
Wakizungumza na mwandishi wetu wananchi wa mkoa huo wamesema,hawajajua nini hatima ya Raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh Jakaya Mrisho Kikwete kwakuwake kiporo baadhi ya mawaziri wengine waliohusika na sakata hilo na kumuuondoa Tibaijuka na kuwa acha mawaziri wengine,napia wamemtaka Raisi kutoa ufafanuzi juu ya pesa hizo, Kwamba licha ya kumtoa madarakani waziri huyo je, pesa zilizobainika kuwa zimechukuliwa zitarudishwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow au la?
Pia viongozi mbalimbali wa chama cha mapinduzi mkoani humo wamesifu na kuyapongeza maamuzi ya Rais Kikwete kumtoa madarakani waziri Tibaijuka.
Kwa upande wake katibu wa chama cha demkraisia na maendeleo chadema manispaa ya Bukoba bw Victor Sherejei amesema kuwa Rais hajatoa maamuzi sahihi ambapo amemtaka Rais kuwafahamisha watanzania kuwa pesa za Escrow zitarudishwa lini katika akaunti ya hiyo au kuwaondoa viongozi madarakani ndiyo suluhisho na kwamba pesa hizo hazita rudishwa?
Aidha aliyekua Waziri wa Ardhi,Nyumba na Makazi Profesa Anna Tibaijuka amesema licha ya Raisi kumuondoa kwenye nafasi yake aliyokuwa nayo sasa Amerudi jimboni kwake kwa ajili ya kutatua kero za wananchi wa jimboni kwake. Na kwamba pesa alizopewa na Rugemalila alipewa bila ilikusaidia shule zake na alizipokea kama zawadi tu..
Wakizungumza na mwandishi wetu wananchi wa mkoa huo wamesema,hawajajua nini hatima ya Raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh Jakaya Mrisho Kikwete kwakuwake kiporo baadhi ya mawaziri wengine waliohusika na sakata hilo na kumuuondoa Tibaijuka na kuwa acha mawaziri wengine,napia wamemtaka Raisi kutoa ufafanuzi juu ya pesa hizo, Kwamba licha ya kumtoa madarakani waziri huyo je, pesa zilizobainika kuwa zimechukuliwa zitarudishwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow au la?
Pia viongozi mbalimbali wa chama cha mapinduzi mkoani humo wamesifu na kuyapongeza maamuzi ya Rais Kikwete kumtoa madarakani waziri Tibaijuka.
Kwa upande wake katibu wa chama cha demkraisia na maendeleo chadema manispaa ya Bukoba bw Victor Sherejei amesema kuwa Rais hajatoa maamuzi sahihi ambapo amemtaka Rais kuwafahamisha watanzania kuwa pesa za Escrow zitarudishwa lini katika akaunti ya hiyo au kuwaondoa viongozi madarakani ndiyo suluhisho na kwamba pesa hizo hazita rudishwa?
Aliyekua waziri wa ardhi,nyumba na ardhi ANNA TIBAIJUKA |
No comments:
Post a Comment