Monday, 8 December 2014

LOWASSA AENDA KUMPA POLE ASKOFU LUZOKA KATIKA HOSPTALI YA TMJ -DARESALAAM

(Aliye kalia kitnda ni Ask Luzoka,Kitini ni Mh Lowassa,aliye simama shati jeupe ni Bishop Gwajima.)
Waziri mkuu mstafu Mh Edward Lowassa ambaye kwa sasa ni mbunge wa Monduli, leo amefunga safari na kwenda katika hosptali TMJ iliyoko Mikocheni jijini Daresalaam, kwenda kumuona Askofu mkuu wa kanisa Katoliki jimbo kuu  la Tabora Ask Paul Luzoka,Ambako ana anaendelea kufanyiwa vipimo kufuatia ajali aliyoipata akiwa Igunga Mkoani Tabora.

No comments:

Post a Comment