Viongozi wa wafanya bishara ndogo ndogo jijini Daresalaam wamepata fulsa ya kutoa kero zao zinazo wasibu, Wakizungumza na makamu mwenyekiti wa UVCCM Taifa mh Mboni Mhita alipowatembelea viongozi hao leo katika eneo la biashara, kufuatia tukio lililp tokea jana la wafanya biashara hao kupigwa mabomu ya machozi na Polisi.
Wakizungumza na kiongozi huyo wamezitaja baadhi ya kelo zinazowakabili zikiwa ni Ukosefu wa maeneo malum ya biashara,Kutokutambuliwa na idara yoyote ya Serikali,Kuyumbishwa au kuhamishwa kila uchwao na kutokuwa na miundombinu ya kudumu.
Makamu mwenyekiti UVCCM TAIFA MH MBONI MHITA |
Makamu mwenyekiti UVCCM mh Mboni Mhita ameya kusanya na kuyachukua maoni na mawazo ya viongozi na kusema atajadiliana na viongozi na wadau mbalimbali kuona ni ninikifanyike nakuhakikishia kuwa kero hizo zinatatuliwa..
No comments:
Post a Comment