Tuesday, 23 December 2014

ENDELEA KUANGALIA PICHA ZA MATUKIO YA SIKUKUU YA VIJANA FPCT TEGETA ILIYO FANYIKA TAR 21/12/2014

Add caption



IGIZO LA UFALME WA MUNGU HUTEKWA NA WENYENGUVU
MUZIKI NAOPIA ULIKUA WAKUTOSHA.
MC KANYOTA YUDA 
VIJANA JOHN (kulia) NA NEEMA WAKIIGIZA
VIJANA WAKIIGIZA(Pluto, chini kushoto,Dotto chinikulia na E John aliye simama')
Watu walikua wengi
Vijana
Idara ya mapambo wakihakikisha mambo yanakua poa.
Mazungumzo na maelekezo yakitolewa baada ya mgeni rasmi kufka
Wapishi nao wakiweka mambo sawa. 
Pendo matiko (aliye simama) akiigiza kama mchawi alitia fora saaana,.

No comments:

Post a Comment