Mchungaji wa kanisa la FPCT TEGETA JORAM J. NTASEHA kwa pamoja na waumini wa kanisa hilo,wanawakarisheni watu wote kwenye maombi na maombezi ya kufunga na kuomba kwa muda wa siku mbili bila kunywa wala kula.
Maombi hayo yata anza saa3;00 asubuhi Ijumaa tar 19/12/2014 na kumalizika siku ya jumamosi tar20/12/4012 jioni. Lengo la maombi hayo ni;-
1/Kuombea kanisa la Tanzania (lisimame katika zamu yake kwa kipindi hiki cha mwisho)
2/Kuombea Nchi yetu ya Tanzania,(Amani,upendo,mshikamano vitawale)
3/Kuombea baraka juu ya Vizazi na uzao wetu.
4/Kuwa ombea Wanafunzi wote.
5/MENGINEYO.
Walete wagonjwa na wenye shida mbalimbali wataombewa YESU KRISTO asiye shindwa na jambo lolote ata waponya na kuwafungua,. Mtaarifu na mwingine..
Maliza mwaka ukiwa na baraka zako.. KARIBUNI SANA.

No comments:
Post a Comment