MCH, SEBASTIAN BWATO AKIFANYA MAOMBEZI |
MCH SEBASTIAN BWATO akimshukuru Mungu baada ya kulihudumia kanisa kwa mahubiri na maombezi. |
Mwimbaji PHILIPO MWANENDE akiimba |
YOHANA AMONI akiongoza wimbo wa kuabudu wakati wa maombezi |
MCH SEBASTIAN BWATO AKIFUNDISHA NENO LA MUNGU JUU YA UMUHIMU WA ROHO MTAKATIFU KATIKA MAISHA YA MUUMINI MMOJA MMOJA NA HATIMAYE KWA KANISA |
Mzee wa kanisa Kiongozi ndugu Festo Kimari akifuatilia neno wakati wa mahubiri |
Mch, Bwato na Mzee wa kanisa kiongozi Festo wakiiweka wakfu sadaka maalum |
kuanzia kulia ni mama mchungaji kanisa la Tegeta, mzee wa kanisa Filemoni, Mch Bwato (mgeni rasmi wa Krismasi), mzee wa kanisa kiongozi Festo na Mzee wa Kanisa Gabriel wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ibada ya krisimasi |
Baadhi ya waumini wakisalimiana nje ya kanisa wakisalimiana mara baada ya kumaizika kwa ibada. |
Baadhi ya viongozi wa kanisa wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni wa Krisimasi |
Waumini wakiendelea kutakiana kheri ya krisimasi baada ya ibada |
No comments:
Post a Comment