Thursday, 4 December 2014

NYEPESI ZA KUTAKA KUPINDULIWAKWA RAISI MUGABE ZA BAINIKA.-ZIMBABWE

Katika mkutano mkuu wa chama tawala cha Zimbabwe ZANU-PF ambapo mwkt wa chama hicho Raisi Robert Mugabe alikua akihutubia mkutano huo ulio hudhuliwa na viongozi wa ngazi za  juu wa ndani ya chama hicho kutoka mikoa mbali mbali.

 Yapo mambo mbalimbali yaliyokuwa yakijadiliwa katika mkutano huo ikiwemo jinsi ya kujenga na kuendelea kukiimalisha chama hicho. Wakati mambo yakiendelea katika mkutano huo RaisiMugabe amesikika akisema kuna njama na mbinu zinazo endelea kupangwa zikiwa na lengo la kumpindua ilikutwaa utawala katika chama hicho.

  Aidha Raisi Mugabe ameonekana aki walaumu baadhiya watu katka chama hicho wenyenia na makusudi ya kutekeleza mbinu hizo.
  Pamoja na hayo amemtaja aliyekua naibuwake Joice Mujulu aliyekuwa akipanga mipango ya kumng'atua  raisihuyo na kumuita ni Mwizi,.

Raisib Robert Mugabe
Aidha pamoja na mambo yote hayo kutokea ndani ya chama hicho, kimekua kikikabiliwa na upinzani/vita vya chini kwa chini ndani ya chama hicho hasa vikilenga ni nani atakaekuwa mrithi wa Raisi Mugabe ambaye kwa sasa ana umrimkubwa wa miaka 9 na amekua ndiye akikiongoza chama hicho tangu kipate uhuru.

No comments:

Post a Comment