PICHA NA MWANDISHI WETU HAPPY MOSHA Hivi ndivyo kongamano la kina mama kanisa la fpct Taifa zilivyochukua nafasi leo kwenye ufunguzi wa kongamano hilo mjini Dodoma mgeni Rasmi alikuwa MH.Lazaro Nyarandu waziri wa maliasili na utalii ambaye amehaidi kutoa shilingi milioni kumi pale alipokuwa akijibu Risala ya akina mama
chai ya asubuhi
mwandishi wa habari wa kurugenzi ya habari fpct tegeta Happyness Mosha
mgeni Rasmi katika kongamano hilo Mh Lazaro Nyarandu akijibu Risala
No comments:
Post a Comment