Wednesday, 31 December 2014
MAMLAKA YA HARI YA HEWA YATOA TAHADHALI JUU YA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA NCHINI
Kukiwa kunaeendelea kulipotiwa matukio ya matokeo na madhara tofautitofauti ya mvuakubwa zinazo endelea kunyesha hapa nchiniTanzania, mamlaka ya hali ya hewa imewataka watanzania kuchukua tahadhali ju ya mvua hizo zinazo nyesha sasa kwamba zaweza kutokea mvua kubwa za vipindi tofauti tofauti hivyokuwa makini na vipindi hivyo.
Akiendelea kutoa tahadhali mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya hali ya hewa nchini(TMA) Dr Agness Kijazi alisema ''Kutokana na mifumuko ya hali ya hewa inatarajia kusababisha vipindi vya ongezeko la mvua katika baadhi ya maeneoya Magharibi, kwenye mika ya Nyanda za juu kusi-magharibi na mikoa ya kusini mwa nchi kuanzia Januari na februali 2015''.
Pia dr Kijazi amewataka watanzania kufuatilia vyombo vya habari na mamlaka ya hali ya hewa ili waweze kujua kitakachokuwa kinalipotiwa kutoka kwenye mamlaka ili wachukue tahadhali mapema.
Akiendelea kutoa tahadhali mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya hali ya hewa nchini(TMA) Dr Agness Kijazi alisema ''Kutokana na mifumuko ya hali ya hewa inatarajia kusababisha vipindi vya ongezeko la mvua katika baadhi ya maeneoya Magharibi, kwenye mika ya Nyanda za juu kusi-magharibi na mikoa ya kusini mwa nchi kuanzia Januari na februali 2015''.
Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya hali ya hewa nchini (TMA) Dr Agness Kijazi (kulia) akizungumza na wandishi wa habari ofsin kwake. |
Monday, 29 December 2014
KARIBU KWENYE IBADA MAALUM YA KUMSHUKURU MUNGU. 2014-2015
Mchungaji wa kanisa la fpct Tegeta mch Joram Ntaseha na waumini wa kanisa hilo wanawakaribisha watu wote kwenye ibada maalum ya kumshukuru Mungu itakayofanyika kuanzia tar 31/12/2014 saa 2;30 usiku mpaka saa 6;30 usku. Kisha mwendelezo wa ibada hiyo utafanyika tar 01/01/2015alhamisi asubuhi kuanzia saa 09;00 - 01;00 mchana. Katika ibada ibada zote hizo kutakuwa ni kumsifu Mungu na kumwabudu huku tukimshukuru mungu kwa matendo yake makubwa aliyo yatenda katika kipindi chote cha mwaka 2014..
Karibu tumshukuru Mungu kwa pamoja, wote mnakaribishwa.
WAKRISTO NCHINI TANZANIA WAASWA KUENDELEA KUOMBA JUU YA TAIFA LAO KULIKO KUNUNG'UNIKA
Ushauri huo umetolewa na Askofu wa makanisa ya fpct jimbo la Pwani na misheni ya Msanga akofu Revert Kamonongo wakati alipokua katika kanisa la fpct Tegeta ambapo alipachagua kufanya ibada ya pamoja ya kufunga mwaka 2014 na washilika wa kanisa hilo.
Akizungumza na mwandishi wetu Askofu Kamonongo amesema Taifa linapopita katika misukosuko ya kisiasa,uchumi,vita,magonjwa, na mambo mengine kama hayo, wakristo hawapaswi kunung'unika wala kuwalaumu watu baadhi,kwani anachokiamni ni kwamba Kanisa lina nafasi kubwa ya kumuomba Mungu ili aweze kuyabadilisha mambo ambayo wanayaona kuwa hayawezekani,Mungu hashindwi na jambo lolote hivyo kila kinachoendelea yeye anakiona hivyo anasubiri tumkubushe''alisema askofu Kamonongo
Pamoja na hayo askofu Kamonongo aliendelea kusema kuwa umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu, Wakristo wote tuungane tuendelee kuwaombea baadhi ya viongozi wanao fanya kazi za jamii kinyume na maadili kwani wana mkosea Mungu na jamii nzima ya watanzaia, wao wameaminika na watanzania wote iliwatekeleze majukumu yao,badala yake imekua kinyume na matokeo yake watanzania wanaishi katika maisha ambayo si sitahili yao. Tukiungana kwa pamoja na tukaonesha juhudi zaidi katika matendo Mungu ata tusaidia na kutuokoa na mabaya.
Mwisho kabisa Askofu Kamonongo amewatakia watu wote kila la kheri katika mwaka 2015 uwe wenye baraka na neema tele na akawasihi waendelee kusherehekea kwa upendo umoja na amani sherehe za kuelekea mwishoni mwa mwaka2014
Askofu KAMONONGO (kushoto)akimueleza kitu flani hapa mch JORAM NTASEHA. |
ASKOFU KAMONONGO AKIWASALIMU WAMINI. |
Sehemu ya wainini wakiwa wanamsiliza kwamakini Askofu Kamonongo |
Waunini wakinyosha mikono yao juu kuonesha ishara ya kukubalina na alicho kisema Askofu Kamonongo,alipo uliza wangapi wana amini kwamba Mungu anaweza yote? |
Askofu Kamonongo na mch Ntaseha wakimfanyia maombi ya Baraka mtoto ANNA(10) aliye amua umpamaisha Yesu kristo kwahiyari yake mwenyewe,. |
Sunday, 28 December 2014
UKUAJI WA KANISA NI MAOMBI.(KWA NINI KANISA LIWE NA MAOMBI?) BY ASKOFU KAMONONGO
Katika maisha ya ya Ukristo zipo nguzo ambazo zinamfanya mkristo aweze kusimama na kuendelea mbele zaidi katika maisha ya kiroho.
1/ Maombi yana beba huduma.
Ili mkristo awe na mafanikio makubwa kiroho lazima awe na maombi ya kufunga na kuomba ili kusonga mbele,kwani katika dunia hii tnayo ishi kuna vikwazo vingisana ambavyo vinaiwinda huduma yako na kuiangusha. usipokua makini utaanguka na hatimae kuibisha huduma yako.
Ili uendelee kumwona Mungu katika huduma na maisha yako lazima ujiwekee Muda zuri wa kumwomba Mungu ali akusaidie. Maombi yana
2/ Maombi ni kipimo cha Kiroho. { Wakolosai 1;9-11}
Maombi ndiyo yana lipima kanisa na waumini katika ukuaji wake.
Kanisa linalo kua nilile linalo omba na washilika wake kuombeana. Waumini au kundi la watu linapo kuasanyika na kuombeana kwa pamoja ndipo hekima na maarifa ya Mbinguni huongezeka. kupata ufaham na mawazo ya kujenga ufalme wa Mungu vinapatikana katika maombi..
3/ Maombi Huimalisha Huduma za watumishi na Viongozi wa kanisa.
Katika urimwengu wa kiroho mtu wa Mungu anawindwa kuliko kitu chochote,ili shetani aweze kulipga kanisa lazima aanze na kiongozi au mtu anaye onekana kuwa na nafasi ya juu katika huduma. Sasa kwa mazingira hayo vita hiyo imehamia katika katika urimwengu wa mwili,mapigano mengine si ya kiroho tu yanaweza kutumwa mwilini Magonjwa,Umasikini na mambomengine kama hayo hufanya huduma kudhoofka. ili kushinda lazima tuombe.
4/ Maombi hushusha nguvu ya Mungu.
Ili huduma au kanisa liwe na Nguvu ya Mungu yaani miujiza na kalama mbalimbali ziweze kutembea lazima kuomba.
Mungu husema nasi kwa nji ya maombi. Mkristo anapochukua muda mrefu bila kuomba razima atakufa kiroho,kristo au mwamini anafananishwa na mtoto anae nyonya maziwa ya wa mama kila siku, mtoto asiponyonya lazima ata dumaa. Ndiposa yampasa mkristo ndani ya Kanisa aombe ili kuishusha Nguvu ya Mungu inayoendelea kuzaa na kutunza Nguvu ya Mungu.
;-Kadri upatavyo mafanikio ya kimwili usi sahau maombi.
Urimwenguni mwanadamu anapita,maisha yetu ni mafupi saana lakini tumaini lipo katika ufalme wa Mungu kwamba baada ya maisha haya ya kawaida yapo maisha mengine ambayo tumeahidiwa kuishi milele. Lakini kabla ya kufka katika mji huo lazima tujitenge na dhambi. Mungu ametupatia Roho mtakaifu ambaye anatufanya kuomba na kushinda dhambi. Jitahidi kuchukua hatua ya kuomba kila iitwapoleo.
Rudi hatua moja nyuma angalia ni wai ulipo anguka na ukatubu ili uzidi kupata nguvu ya maombi na kuendelea kushinda dhambi.
MUNGU WA MBINGUNI akubariki na uwe na tafakari njema.
1/ Maombi yana beba huduma.
Ili mkristo awe na mafanikio makubwa kiroho lazima awe na maombi ya kufunga na kuomba ili kusonga mbele,kwani katika dunia hii tnayo ishi kuna vikwazo vingisana ambavyo vinaiwinda huduma yako na kuiangusha. usipokua makini utaanguka na hatimae kuibisha huduma yako.
Ili uendelee kumwona Mungu katika huduma na maisha yako lazima ujiwekee Muda zuri wa kumwomba Mungu ali akusaidie. Maombi yana
2/ Maombi ni kipimo cha Kiroho. { Wakolosai 1;9-11}
Maombi ndiyo yana lipima kanisa na waumini katika ukuaji wake.
Kanisa linalo kua nilile linalo omba na washilika wake kuombeana. Waumini au kundi la watu linapo kuasanyika na kuombeana kwa pamoja ndipo hekima na maarifa ya Mbinguni huongezeka. kupata ufaham na mawazo ya kujenga ufalme wa Mungu vinapatikana katika maombi..
3/ Maombi Huimalisha Huduma za watumishi na Viongozi wa kanisa.
Katika urimwengu wa kiroho mtu wa Mungu anawindwa kuliko kitu chochote,ili shetani aweze kulipga kanisa lazima aanze na kiongozi au mtu anaye onekana kuwa na nafasi ya juu katika huduma. Sasa kwa mazingira hayo vita hiyo imehamia katika katika urimwengu wa mwili,mapigano mengine si ya kiroho tu yanaweza kutumwa mwilini Magonjwa,Umasikini na mambomengine kama hayo hufanya huduma kudhoofka. ili kushinda lazima tuombe.
4/ Maombi hushusha nguvu ya Mungu.
Ili huduma au kanisa liwe na Nguvu ya Mungu yaani miujiza na kalama mbalimbali ziweze kutembea lazima kuomba.
Mungu husema nasi kwa nji ya maombi. Mkristo anapochukua muda mrefu bila kuomba razima atakufa kiroho,kristo au mwamini anafananishwa na mtoto anae nyonya maziwa ya wa mama kila siku, mtoto asiponyonya lazima ata dumaa. Ndiposa yampasa mkristo ndani ya Kanisa aombe ili kuishusha Nguvu ya Mungu inayoendelea kuzaa na kutunza Nguvu ya Mungu.
;-Kadri upatavyo mafanikio ya kimwili usi sahau maombi.
Urimwenguni mwanadamu anapita,maisha yetu ni mafupi saana lakini tumaini lipo katika ufalme wa Mungu kwamba baada ya maisha haya ya kawaida yapo maisha mengine ambayo tumeahidiwa kuishi milele. Lakini kabla ya kufka katika mji huo lazima tujitenge na dhambi. Mungu ametupatia Roho mtakaifu ambaye anatufanya kuomba na kushinda dhambi. Jitahidi kuchukua hatua ya kuomba kila iitwapoleo.
ASKOFU WA JIMBO LA PWANI NA MISHENI YA MSANGA (FPCT),REVETY KAMONONGO |
MUNGU WA MBINGUNI akubariki na uwe na tafakari njema.
Thursday, 25 December 2014
KURUGENZI YA HABARI NA MAWASILIANO KANISA LA FPCT TEGETA KUJA KIVINGINE YAPANGA MIKAKATI KABAMBE
KURUGENZI YA HABARI NA MAWASILIANO FPCT TEGETA YAJIPANGA UPYA
Kurugenzi ya habari na mawasiliano kanisa la fpct tegeta
imesema kuwa wanajipanga kufanya mambo
makubwa kwa kipindi cha mwaka 2015 kwa lengo la kuhakikisha kazi yao
inakuwa na ubora zaidi kwa
kutangaza injili kwa mataifa yote
Akizungumza na mwandishi wetu Mwenyekiti wa idara hiyo bwna
Frank Gibebe amesema lengo lao ni
kutangaza neno la Mungu kwa mataifa kupitia mtandao lakini pia kutoa taarifa
mbalimbali za kanisa la fpct sambamba na madhehebu mengine huku akisema kwa
muda mfupi ambao wamefanya huduma wameona mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na
watu mbalimbali kuamua kumpa Yesu maisha baada ya kuona shuhuda mbalimbali
ambazo zimekuwa zikitokea katika kanisa la fpct tegeta na kwa makanisa mengine
Mlezi wa kurugenzi ya habari na mawasiliano fpct tegeta bwn Kakete shephan
‘’unajua mwanzo wakati tunaanza watu wengi waliona kama tunapoteza
muda lakini kiukweli mpaka hivi sasa kuna mafanikio mengi tumeyaona na lengo
letu ni kuja na maono mapya kwa mwaka ujao ili tuweze kufikia malengo ,namshukuru
sana mchungaji wetu wa kanisa la fpct tegeta mch. Joram J. Ntaseha kwa
ushirikiano mkubwa kwa idara hii ambayo imezaa matunda katika kanisa kwa muda
wa miezi minne tu tangu kuanza kazi tunaamini mwakani kuna mavuno makubwa
zaidi” Alisema Gibebe
Aidha alisema anafurahishwa na askofu wa kanisa la fpct
jimbo la pwani na Dar es salaam askofu Revert Kamonongo ambaye ameonyesha
kuitambua idara hiyo ya habari na mawasiliano na mara kadhaa amekuwa akiifanyia
maombezi huku akiwatia moyo kuendelea mbele na kuitangaza kazi ya Mungu kwenye
mtandao huku akisema kuwa watu wengi wanapatikana huko hasa vijana
Mwenyekiti kurugenzi ya habari na mawasiliano bwn Frank Gibebemwenyekiti msaidizi Hossein Gabriel
Kwa upande mwingine mwenyekiti msaidizi bwana hossein
Gabriel amesema wanamshukuru Mungu kwa sababu kila siku wamekuwa wakiona
mabadiliko katika idara yao hivyo kuwataka watu mbalimbali kuendelea kuwaunga
mkono ili kuhakikisha injili inasonga kote ulimwenguni
Kurugenzi ya la
Habari na Mawasiliano Fpct Tegeta inaongozwa na Frank Gibebe kama mwenyekiti,
Hossein Gabriel Mwenyekiti msaidizi, Gabilo Hosea Mhasibu , na Rasmi leo
imemtangaza mtumishi wa Mungu Kakete Shephan ambaye anaishi nchini kanada kuwa mlezi wa idara hiyo
Mhasibu kurugenzi ya habari na mawasiliano Gabilo Hoseamwandishi wa habari kurugenzi ya habari na mawasiliano Happiness Mosha
Askofu wa jimbo la pwani kanisa la fpct ..akofu REVERT KAMONONGO akiwafanyia maombi maalum viongozi wa idara ya habari na mawasilino kanisa la fpct Tegeta
HIVI NDIVYO ILIVYOKUA KATKA IBADA YA KRISMAS KANISA LA FPCT TEGETA.
MCH, SEBASTIAN BWATO AKIFANYA MAOMBEZI |
MCH SEBASTIAN BWATO akimshukuru Mungu baada ya kulihudumia kanisa kwa mahubiri na maombezi. |
Mwimbaji PHILIPO MWANENDE akiimba |
YOHANA AMONI akiongoza wimbo wa kuabudu wakati wa maombezi |
MCH SEBASTIAN BWATO AKIFUNDISHA NENO LA MUNGU JUU YA UMUHIMU WA ROHO MTAKATIFU KATIKA MAISHA YA MUUMINI MMOJA MMOJA NA HATIMAYE KWA KANISA |
Mzee wa kanisa Kiongozi ndugu Festo Kimari akifuatilia neno wakati wa mahubiri |
Mch, Bwato na Mzee wa kanisa kiongozi Festo wakiiweka wakfu sadaka maalum |
kuanzia kulia ni mama mchungaji kanisa la Tegeta, mzee wa kanisa Filemoni, Mch Bwato (mgeni rasmi wa Krismasi), mzee wa kanisa kiongozi Festo na Mzee wa Kanisa Gabriel wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ibada ya krisimasi |
Baadhi ya waumini wakisalimiana nje ya kanisa wakisalimiana mara baada ya kumaizika kwa ibada. |
Baadhi ya viongozi wa kanisa wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni wa Krisimasi |
Waumini wakiendelea kutakiana kheri ya krisimasi baada ya ibada |
Wednesday, 24 December 2014
UTENGUZI WA WAZIRI TIBAIJUKA WAPOKELEWA KWA HISIA TOFAUTI NA WAKAZI WA MKOA WA KAGERA
Zikiwa zimepita siku chache tu tangu Raisi Kikwete amvue uwaziri Mh Anna Tibaijuka, Baadhi ya wananchi wa mkoa wa Kagera wameupokea kwa hisia tofauti tofauti utenguzi wa waziri wa nyumba,Ardh, nyumba na makazi.kufuatia tuhuma za upokeaji wa pesa kutoka kwenye akaunti ya Tegeta Escrow,amabapo Waziri Tibaijuka alipokea kiasi cha zaidi ya bilioni moja nukta tano.
Wakizungumza na mwandishi wetu wananchi wa mkoa huo wamesema,hawajajua nini hatima ya Raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh Jakaya Mrisho Kikwete kwakuwake kiporo baadhi ya mawaziri wengine waliohusika na sakata hilo na kumuuondoa Tibaijuka na kuwa acha mawaziri wengine,napia wamemtaka Raisi kutoa ufafanuzi juu ya pesa hizo, Kwamba licha ya kumtoa madarakani waziri huyo je, pesa zilizobainika kuwa zimechukuliwa zitarudishwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow au la?
Pia viongozi mbalimbali wa chama cha mapinduzi mkoani humo wamesifu na kuyapongeza maamuzi ya Rais Kikwete kumtoa madarakani waziri Tibaijuka.
Kwa upande wake katibu wa chama cha demkraisia na maendeleo chadema manispaa ya Bukoba bw Victor Sherejei amesema kuwa Rais hajatoa maamuzi sahihi ambapo amemtaka Rais kuwafahamisha watanzania kuwa pesa za Escrow zitarudishwa lini katika akaunti ya hiyo au kuwaondoa viongozi madarakani ndiyo suluhisho na kwamba pesa hizo hazita rudishwa?
Aidha aliyekua Waziri wa Ardhi,Nyumba na Makazi Profesa Anna Tibaijuka amesema licha ya Raisi kumuondoa kwenye nafasi yake aliyokuwa nayo sasa Amerudi jimboni kwake kwa ajili ya kutatua kero za wananchi wa jimboni kwake. Na kwamba pesa alizopewa na Rugemalila alipewa bila ilikusaidia shule zake na alizipokea kama zawadi tu..
Wakizungumza na mwandishi wetu wananchi wa mkoa huo wamesema,hawajajua nini hatima ya Raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh Jakaya Mrisho Kikwete kwakuwake kiporo baadhi ya mawaziri wengine waliohusika na sakata hilo na kumuuondoa Tibaijuka na kuwa acha mawaziri wengine,napia wamemtaka Raisi kutoa ufafanuzi juu ya pesa hizo, Kwamba licha ya kumtoa madarakani waziri huyo je, pesa zilizobainika kuwa zimechukuliwa zitarudishwa kwenye akaunti ya Tegeta Escrow au la?
Pia viongozi mbalimbali wa chama cha mapinduzi mkoani humo wamesifu na kuyapongeza maamuzi ya Rais Kikwete kumtoa madarakani waziri Tibaijuka.
Kwa upande wake katibu wa chama cha demkraisia na maendeleo chadema manispaa ya Bukoba bw Victor Sherejei amesema kuwa Rais hajatoa maamuzi sahihi ambapo amemtaka Rais kuwafahamisha watanzania kuwa pesa za Escrow zitarudishwa lini katika akaunti ya hiyo au kuwaondoa viongozi madarakani ndiyo suluhisho na kwamba pesa hizo hazita rudishwa?
Aliyekua waziri wa ardhi,nyumba na ardhi ANNA TIBAIJUKA |
WAFANYA BIASHARA NDOGO NDOGO DAR WALIO PIGWA MABOMU WATOA KERO ZAO.
Viongozi wa wafanya bishara ndogo ndogo jijini Daresalaam wamepata fulsa ya kutoa kero zao zinazo wasibu, Wakizungumza na makamu mwenyekiti wa UVCCM Taifa mh Mboni Mhita alipowatembelea viongozi hao leo katika eneo la biashara, kufuatia tukio lililp tokea jana la wafanya biashara hao kupigwa mabomu ya machozi na Polisi.
Wakizungumza na kiongozi huyo wamezitaja baadhi ya kelo zinazowakabili zikiwa ni Ukosefu wa maeneo malum ya biashara,Kutokutambuliwa na idara yoyote ya Serikali,Kuyumbishwa au kuhamishwa kila uchwao na kutokuwa na miundombinu ya kudumu.
Makamu mwenyekiti UVCCM TAIFA MH MBONI MHITA |
Makamu mwenyekiti UVCCM mh Mboni Mhita ameya kusanya na kuyachukua maoni na mawazo ya viongozi na kusema atajadiliana na viongozi na wadau mbalimbali kuona ni ninikifanyike nakuhakikishia kuwa kero hizo zinatatuliwa..
SOMO :: KUZALIWA KWA BWANA YESU
YESU KRISTO ANAZALIWA..JINA LAKE ATAITWA EMMANUEL MUNGU YU PAMOJA NASI
Matukio yahusianayo na kuzaliwa kwa Yesu
Kristo yameandikwa katika kumbukumbu mbili za Injili. Yanapatikana katika
Mathayo 1 na 2 na katika Luka 1 na 2. Luka atwambia kwamba matukio haya
yalitokea katika utawala wa Kaizari Augustus (Luka 2:1-2), ambayo inatuwezesha
kuthibitisha kwa usahihi kuwa Yesu alizaliwa mwaka wa nne kabla ya Kristo.
Injili ya Luka pia imeweka kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yohana Mbatizaji, na
kujitokeza kwake katika taifa, ikiweka jambo hili katika sura ya ki-historia
pia (Luka 3:1)
Tunapotafakari matukio haya tunafurahishwa
na habari kamili zinazotokana na manabii wanaotabiri makusudi ya Mungu ya
kumleta Yesu na kazi ambayo angefanya.
Unabii wa Isaya kuhusu
kuzaliwa kwa Yesu
Isaya ndiye nabii aliyepeleka ujumbe
dhahiri kwa nyumba ya Daudi akisema “Tazama bikira atashika mimba na kuzaa
mwana ambaye ataitwa Immanueli (maana yake, ‘Mungu yu nasi’)” (Isaya 7:14 ). Hili lilitimizwa mara Mariamu,
wa ukoo wa Mfalme Daudi alipomzaa mwanawe kifungua mimba Yesu kama
alivyotabiriwa katika Mathayo 1:21-23.
Pia Isaya alitabiri kazi ya baadaye ya huyu
ambaye angezaliwa akisema: “Kwa maana mtoto amezaliwa kwetu, kuna mwana ambaye
tumepewa, na ufalme utakuwa begani kwake. _ _ _ _ kuhusu utawala wake na amani
hakutakuwa na mwisho, kwenye kiti cha enzi cha Daudi na juu ya ufalme wake ili
kuufanya imara na kuutegemeza kwa njia haki na kwa njia ya uadilifu kuanzia sasa
hata milele” Isaya 9:6-7). Kutokana na utabiri huu hatuwezi kushindwa kuelewa
kuwa yesu alizaliwa ili atawale katika kiti cha Daudi wakati ufalme wake
utakaposimikwa duniani, milele.
Ujumbe wa Malaika Gabrieli
kwa Mariamu.
Malaika Gabrieli alipomtokea Mariamu,
alimwambia kuhusu kazi maalum ambayo Yesu angefanya. Maneno yake
yanamtambulisha Yesu kama
uzao wa Daudi uliotabiriwa katika 2 Samweli 7:12-16: “Na tazama utashika mimba
na kuzaa mtoto wa kiume ambaye utamwita YESU. Atakuwa mkuu na ataitwa Mwana wa
Aliye Juu Zaidi: na Bwana Mungu atampa kiti cha Enzi cha Daudi, baba yake: na
atatwala juu ya nyumba ya Yakobo, milele na kuhusu utawala wake hakutakuwa na
mwisho (Luka 1:31 -33).
Tutafakari maana ya ujumbe wa Malaika
Gabrieli kwa Mariamu.
“Utamwita YESU”, Neno Yesu katika Kigiriki
ni sawa na neno Yoshua linalopatikana katika Agano la Kale ambalo maana yake ni
“Yah (Mungu) ataokoa.” Kupitia Yesu
Mungu alikuwa analeta uokovu kutoka kwenye dhambi na mauti kwa watu wote
(Linganisha na Mathayo 1:21 )
“ataitwa Mwana wa Aliye Juu Zaidi.”
Angekuja kuwa “Mwana wa Mungu” aliyeahidiwa kwa Daudi katika 2 Samweli 7:14 (linganisha na Waebrania 1:5;
Zaburi 2:7.
“Bwana Mungu atampa kiti cha enzi cha
Daudi, baba yake.” Yesu ni “mzao” au mjukuu aliyeahidiwa kwa Daudi ambaye
ataanzisha upya kiti cha enzi na ufalme wa Daudi duniani (2 Samweli 7:12 -16; linganisha Isaya 9:6-7)
“Kuhusu ufalme wake hakutakuwa na mwisho”
ufalme wake hautakuwa na mwisho kwa sababu Yesu Kristo ambaye atkuwa mfalme
hafi (2 Samweli 7:16 ,
Danieli 2:44 , Ufunuo 11:15 ).
Katika mbiu fupi ya Malaika Gabrieli
tunapata maelezo dhahiri ya kazi itakayofanywa na mtoto huyu ambaye alikuwa
karibu kuzaliwa:
ü Angewaokoa binadamu katika
dhambi na mauti
ü Angekuwa Mwana wa Mungu
ü Angekuwa mwana wa Daudi, na kwa hiyo
o Angekalia kiti cha enzi cha Daudi
o Angetawala Waisraeli waliojikusanya upya
o Angeanzisha ufalme wa Mungu usio na mwisho duniani.
Jibu la Mariamu kwa mbiu ya Gabrieli
lilikuwa la unyenyekevu na ukunjufu kwa matakwa ya Mungu. Aliuliza: “Hili
litakuwaje? Maana simjui mwanaume?
Jibu la Gabrieli likawa; “Roho Mtakatifu
atakujia na uwezo wa Aliye Juu Zaidi utakufunika: kwa hiyo hicho kitu
kitakatifu kitakachozaliwa na wewe kitaitwa Mwana wa Mungu” Luka 1:34 ). Kupitia uwezo wa Roho Takatifu
ya Mungu mtoto huyu angezaliwa na kuitwa “Mwana wa Mungu” kwa utimizo wa unabii
wa Agano la kale (2 Samweli 7:14 ,
Zaburi 2:7, angalia Matendo 13:32-33, Mwanzo 3:15).
Kuzaliwa Kwake Bethlehemu
Kuzaliwa kwa Yesu Bethlehemu kulikuwa
kumetabiriwa na Nabii Micah (Micah 5:1-2) lakini Yusufu na Mariamu waliishi
Nazareti kilometa 110 kaskazini mwa Bethlehemu. Mariamu alikuwa amekaribia
kujifungua na katika hali ya kawaida ya kibinadamu ilionekana kwamba
angejifungulia Nazareti. Walakini tunaona mkono wa Mungu ukifanya kazi miongoni
mwa binadamu, kuonyesha makusudi yake (angalia danieli 4:17 ), kwa maana wakati huu Kaizari Augustus
alitoa amri kwamba dunia nzima ilipe kodi (yaani watu wote waorodheshwe). Hili
lililazimu Yusufu na Mariamu wafanye safari ndefu kwenda kwa mji wa babu zao,
Bethlehemu kwa madhumuni hayo (Luka 2:1-6) kilichoonekana kama uamuzi wa mbali
wa mtawala wa Kipagani, kilikuwa kwa kweli kimeongozwa na mkono wa Mungu katika
mashauri ya wanadamu kwa maana Yesu alikuwa azaliwe Bethlehemu (Luka 2:4-7,
Mathayo 2:4-6). Pia Micah alitabiri kazi ya baadaye ya Yesu akisema angekuwa
“Mtawala Israeli” Hili litatimizwa mpaka mpaka atakaporudi kuja kusimika ufalme
wa Mungu duniani.
Habari zenye kufurahisha
za kuzaliwa kwake.
Tukio hili lililosubiriwa kwa muda mrefu na
vizazi na vizazi vya wacha Mungu wa kuume na kike liltangazwa na malaika kwa
wachunga kondoo katika nyanda za Bethlehemu. “Msiogope; kwa maana, tazameni,
nawaletea habari njema za furaha kuu kwa watu wote. Kwenu leo hii amezaliwa
Mwokozi ambaye ni Kristo Bwana katika mji wa Daudi” (Luka 2:10 -11).
Aya
ya 10:
“Habari njema” Hii
ni tafsiri ya neno lilelile ambalo mahali pengine limeandikwa “Injili”.
“Kwa watu wote”
Habari njema inayohusiana na Yesu Kristo Bwana si kwa Wayahudi peke yao bali kwa watu wote,
Wayahudi na watu wa mataifa sawia. Hizi habari njema ni mbiu ya uwokovu ambao
Mungu ametoa kupitia kwake (Marko 16:15-16, Wagalatia 3:26-27)
Aya
ya 11:
“Katika mji wa
Daudi” Ndiyo kusema Bethlehemu, mji alipozaliwa Daudi (1 Samueli 16:1) Israeli
ilitarajia mtawala ajaye atokee katika mji huu (Micah 5:1-2).
“Mkombozi”
Mwanadamu ni mwenye mauti na dhambi na anahitaji kukombolewa kutoka katika
kifo. Kupitia kwa Yesu Kristo Mungu ametupatia msamaha wa dhambi na matumaini
ya kuchangia kutokufa na kristo wakati atakaporudi duniani (2 Timoteo 1:10; 1
Wakorinto 15:21-23, 51-54) kwa hiyo Yesu ni “Ukombozi wa mwanadamu utokao kwa
Mungu.”
Wanajimu Kutoka Mashariki.
Miongoni mwa wale waliokuwa wamesoma unabii
na kutarajia kuzaliwa kwa Kristo wakati huo ni “Wanajimu kutoka sehemu za Mashariki.”
Mara tu walipofika Yerusalemu walianza kuuliza. “Yuko wapi yule aliyezaliwa
akiwa mfalme wa Wayahudi?” (Math. 2:2) walielewa kutokana na Manabii kuwa
hatima ya mtoto aliyezaliwa ni kuwa Mfalme wa Wayahudi akikalia kiti cha enzi
cha Daudi (2 Samweli 7:12 -14;
Isaya 9:6-7)
Herode aliposikia udadisi wa Wanajimu
alifadhaika na kuita Makuhani na Waandishi na “kuwataka wamwambie ni wapi
Kristo alipokuwa amezaliwa” (Math. 2:4), walijua jibu mara moja kutokana na
Nabii Micah wakamjibu: katika Bethlehemu ya Yuda (Micah 5:2; Math. 2:5-6).
Kutokana na hili twaona kuwa Wayahudi
walifahamu kwamba:
ü Kristo angezaliwa
ü Katika Bethlehemu
ü Na angetawala “watu wangu Israeli.”
Yesu Mwana wa Mungu na
Mwana wa Binadamu.
Majina haya mawili, “mwana wa Mungu” na
“Mwana wa Binadamu” yanatumika katika kumbukumbu zote za Injili. Yanaonyesha
kuwa Mungu alikuwa baba yake na wakati huo huo akiwa mzao wa Adam alihusiana na
mwanadamu ambaye yeye alikuja kuokoa. Tunaona hizi nasaha mbili zikitangazwa na
Gabrieli katika maneno yake kwa Mariamu. Angekuja kuwa “Mwana wa Aliye Juu
Zaidi” yaani wa Mungu na angekalia “kiti cha enzi cha Daudi, baba yake” (Luka
1:32; 2 Samweli 7:12-14; Matendo 2:30).
Paulo asema “Wakati ulipotimia “Mungu
alimtuma mwanaye aliyezaliwa na mwanamke katika sheria” (Wagalatia 4:4) kuhusu
mwanae Mungu aliweza kusema “Wewe ni mwanangu, leo hii nimekuzaa” (Zaburi 2:7,
Waebrania 1:5; 5:5)
Ingawa kuzaliwa kwa Yesu kulibashiriwa muda
mrefu na manabii kuwepo kwake kulianza mara Mungu kupitia Roho Yake Takatifu
aliposababisha Mariamu kubeba mimba, miaka 2000 iliyopita (Luka 1:35 )
Nabii Isaya anataja kuzaliwa kwa Yesu
Kristo Bwana kwa jinsi hii: “Na yeye
(mungu) aliona kuwa hapakuwa na yeyote, na kuwaza kwamba hapakuwa na mtetezi:
kwa hiyo mkono wake ukaleta uwokovu kwake” (Isaya 59:16).
Mungu kwa kuona hali ya dhambi za binadamu
na kwa kujua kwamba hapakuwa na yeyote ambaye angeonyesha utii mkamilifu au
kumwokoa mwanadamu katika utumwa wa dhambi na mauti, alichukua hatua ya kumpata
mtu ambaye kwa kupitia kwake angeleta uokovu.
Alimtia nguvu huyo aliyezaliwa na mwanadamu ili ashinde dhambi na
mauti na hiyo kufungua njia ya wokovu na
uhai kwake mwenyewe na wengine wote ambao wangekuja kwa mungu kupitia kwake, “
kazi ya mwana wa Adamu imeainishwa
katika Waebrania 2:6-18.
Ulazima wa mungu kujihusisha na wokovu wa mwanadamu kutoka
katika dhambi ulitabiriwa tangu mwanzo, Aliposema “uzao wa mwanamke”
ungekiponda kichwa cha “nyoka” kuonyesha
kwamba Mungu angemfunika mwanamke kwa kivuli chake ili azae mwana ambaye
angevunja nguvu ya dhambi ya nyoka Mwanzo 3:15;
Waebrania 2:14, Wagalatia 4:4)
MCHUNGAJI JORAM J. NTASEHA... ASEMA WATU WASHEREKEE SIKUKUU YA KUZALIWA BWANA YESU KWA KUMSHUKURU MUNGU
Mchungaji wa kanisa la fpct tegeta jijini Dar es Salaam mch.Joram jeremiah ntaseha amesema ni vizuri watu wakaitumia vizuri siku ya ukumbusho wa kuzaliwa bwana yesu kristo wakiwa magotini kwa kurudisha shukrani kwa Mungu kwa kumleta mkombozi ambaye ndiye aliyejitoa msalabani kwaajili ya dhambi za wanadamu
Akizungumza mapema hii leo ofisini kwake mch.Ntaseha amesema watu wengi wamejisahau na kuuitumia vibaya siku ya kuzaliwa bwana Yesu huku wengine wakithubutu kufanya vitendo viovu kwa kukesha kwenye madisko kukesha kwenye kumbi za Starehe na kufanya ukahaba jambo ambalo linamchukiza mwenyezi Mungu
"ukija kanisani kwangu watakwambia kabisa kuwa nimewaambia waitumie siku hii kumshukuru Mungu kwa matendo yake makuu na waendelee kuyatafakari matendo yake makuu na kujiuliza maswali je ni kweli watu wanaishi maisha matakatifu tena katika kipindi hiki cha siku za mwisho huyu mkombozi aliyezaliwa amekuja kwaajili ya dhambi zako wewe uliyeanguka hivyo ni vyema ukaitumia siku hii kulia mbele za Mungu na kumueleza mahitaji yako kwasababu mkombozi anazaliwa ''Alisema mch.Ntaseha
mchungaji Joram Jeremiah Ntaseha
Tuesday, 23 December 2014
ENDELEA KUANGALIA PICHA ZA MATUKIO YA SIKUKUU YA VIJANA FPCT TEGETA ILIYO FANYIKA TAR 21/12/2014
Add caption |
IGIZO LA UFALME WA MUNGU HUTEKWA NA WENYENGUVU |
MUZIKI NAOPIA ULIKUA WAKUTOSHA. |
MC KANYOTA YUDA |
VIJANA JOHN (kulia) NA NEEMA WAKIIGIZA |
VIJANA WAKIIGIZA(Pluto, chini kushoto,Dotto chinikulia na E John aliye simama') |
Watu walikua wengi |
Vijana |
Idara ya mapambo wakihakikisha mambo yanakua poa. |
Mazungumzo na maelekezo yakitolewa baada ya mgeni rasmi kufka |
Wapishi nao wakiweka mambo sawa. |
Pendo matiko (aliye simama) akiigiza kama mchawi alitia fora saaana,. |
Subscribe to:
Posts (Atom)