Mchungaji JUSTINE MISIGARO wa kanisa la FPCT Tandale- Tanesco Jijini Dar sa salaam, Anawakaribisha watu wote waishio Dar es salaam na maeneo jirani ya mkoa huo, kufika na kuwatembelea katika ibada za kanisani hapo ili kushiriki Baraka za Mungu kwa pamoja,.
Karibu sana pindi upatapo fursa.
Na hiii ni ratiba za ibada katika kanisa hilo.
Jumatano kuanzia saa 10;00 alasiri -12;00 jioni ni Mafundisho ya Biblia na Neno la Mungu.
Injumaa kuanzia saa 10;00 alasiri -12;00 jioni ni maombi na maombezi.
Juma mosi kuanzia saa 08;00 mchana 11;00 Ni ushauri wa kiroho kuonana na mchungaji moja kwa moja. Pia Juma mosi kuanzia saa 10;00 - 01;300 ni mazoezi ya kwaya.
Na jumapili saa 03;15 - saa 07;30 ni Ibada kuu iliyojaa nguvu na matendo makubwa ya Mungu.
Kwa mawasiliano na ushauri wa mambo mbalimbali, wasiliana na mch Misigaro kwa
+255 685 590 048
Karibuni sana.
MCH ; JUSTINE MISIGARO WA KANISA LA FPCT TANDALE-TANESCO AKIWA MADHABAHUNI . |
Mama Mchungaji wa kanisa la FPCT Tandale Tanesco Bi, Rehema Misigaro. |
Hawa ni moja kati ya vijana wa kundi la sifa na kuabdu na msimamizi wa mitambo. |
No comments:
Post a Comment