Friday, 27 February 2015

KARIBU KWENYE SEMINA YA NENO LA MUNGU NA MAOMBEZI KANISA LA FPCT BOKO KWA MPEMBA

kanisa la fpct Boko kwa mpemba jijini Dar es salaam wanakukaribisha kwenye semina ya Neno la Mungu N a maombezi inayoendelea kanisani hapo kila siku kuanzia saa 9:00 Jioni mpaka Saa 12 :30 jioni kumbuka semina hii ilianza siku ya jumatatu tarehe 23 na itahitimishwa siku ya Jumapili Tarehe 01.3.2015 Kumbuka watumishi wa Mungu wa kimataifa kutoka Uingereza na Mchungaji mwenyeji Pastor Elijah Mtishibi wanafundisha neno L a Mungu pamoja na kufanya maombezi njoo ukutane na muujiza wako  kwa sababu zimebaki siku mbili pekee siku ya kesho jumamosi na Jumapili
Mchungaji mwenyeji Mch. Elijah Mtishibi  akifundisha Neno la Mungu ..Semina ni ya baraka sana

                  mchungaji kiongozi kanisa la fpct parishi ya tegeta mch. Joram Jeremiah
                                              mchugaji Elijah akifanya maombezi


                                               Mwimbaji Kepha Jackson akitoa huduma

                                                     Jerusalem Choir wakitoa huduma



Monday, 23 February 2015

ALICHOKIUNGANISHA MUNGU MWANADAMU HAWEZI KUKITENGANISHA

Hongera Ndgu Yohana Jumanne Kwa kufunga ndoa na Scolastica Magambo hakika mmeutunza vyema ujana wenu ....Hii ilikuwa ni kwa kanisa la fpct tegeta ...Endelea kutazama picha
















Wednesday, 11 February 2015

HII SI YA KUKOSA;NI MIAKA 4 YA TING NA BURUDANI YA VALENTINE DAY.

Katika kusherehekea miaka 4 ya TING,Wamekuandalia Burudani ya kukata na Mundu kama si Shoka.
 Sherehe hiyo itafanyika SIKU YA WAPENDAO(VALENTINE DAY). Tar 14/02/2014 kuanzia saa 12;00 jioni na kuendelea.

     Mahali;
Katika ukumbi wa Studio za ATN Mbezi Beach Jogoo jijini Dar es salaam.
           Waimbaji,wachekeshaji,waigizaji,nao watakuwepo siku hiyo. usiache kuja na umpendae kwani zawadi mbaalimbali zitatolewa.  Hakuna kiingilio ni BUREEEE..
Sasa jipatie KING'AMUZI CHA TING HD kwa shilingi elfu nne tu za kitanzania(4000)
  Vigezo na Mashart kuzingatiwa,. Kwa maelezo zaidi piga 0684/0653/076-999230 Huduma kwa wateja. TING BORA KULIKO