|
Askofu Josephat Gwajima wa ufufuo na uzima |
Hatimae sakata la Askofu mkuu Wa kanisa la ufufuo na uzima la jijin dar es salaam Josephat Gwajima, linaendelea kutoa picha flan machoni pa wa Tanzania na wana dunia kwa ujmla baada ya kuachiliwa nje kwa dhamana yeye na wachungaji wake 15 waliokua wakishikiliwa na Jeshi la Polisi kwa makosa tofauti tofauti likiwemo la kutoa maneno makali kwa Askofu mkuu wa Kanisa Ktoliki Tanzania Ask Pengo na lile la baadhi ya wachungaji kudaiwa kutaka kumtorosha askofu Gwajima wakati alipokua amelazwa katika hosptali ya TMJ ya Dar es salaam. Chanzo cha habari kutoka katika kanisa hilo kimeeleza,.
No comments:
Post a Comment