MAANDALIZI YA SHEREHE YA KUWASIMIKA WACHUNGAJI ,WAZEE NA MASHEMASI YAKAMILIKA FPCT MISSION YA MSANGA. Mchungaji wa kanisa la fpct tegeta mch. Joram Jeremiah Ntaseha amesema maandalizi ya sherehe hiyo yamekamilika kwa asilimia zote na tayari semina zimekw isha anza zikihudhuriwa na watumishi mbalimbali na Walimu wamasomo husika tayari wapo kwa ajili ya kufundisha. Akizungumza na na blog hii Mch. Ntaseha amesema kuwa mipango inaenda vizuri kama ilivyoratibiwa huku parishi zote za Mission ya Msanga zikitarajiwa kushiriki katika sherehe hiyo.
askofu Revert Kamonongo Aidha Mch. Ntaseha ameongeza kuwa washirika wake wa kanisa la fpct tegeta wamejipanga vizuri kuelekea siku hiyo ambapo kanisa hilo litatambulika Rasmi kama Parishi ya tegeta,sherehe hiyo itafanyika siku ya jumapili tarehe 24 mwezi wa 8 mwaka huu kwenye kanisa la askofu Revert Kamonongo.

No comments:
Post a Comment