Monday, 27 April 2015
Sunday, 5 April 2015
IBADA YA PASAKA NDANI YA KANISA LA FPCT TEGETA
IBADA YA PASAKA INAENDELEA KATIKA Kanisa La FPCT Tegeta NA MTUMISHI WA MUNGU KUTOKA KIGOMA MCHUNGAJI NA MWALIMU WA CHUO CHA BIBLIA BIGABILO Mch.SAMWELI KAHASA NDIO MGENI MAALUM WA PASAKA HAKIKA NI BARAKA SANA.......Kumbuka kuwa pasaka ni ukombozi kwetu sisi wanadamu lakini pia ni upatanisho kati yetu sisi na MUNGU
Mchungaji Samweli Kahasa kutoka kigoma akifundisha Neno la Mungu kwenye ibada ya pasaka FPCT TEGETA
Kutoka kushoto ni mch Joram Jeremiah wa fpct tegeta akimkaribisha mch. Samweli Kahasa
Mzee kiongozi wa kanisa la fpct tegeta Mzee Festo Labani
moja ya mifano wakati neno likiendelea
Tuesday, 31 March 2015
ASKOFU GWAJIMA AACHIWA KWA DHAMANA
![]() |
| Askofu Josephat Gwajima wa ufufuo na uzima |
Monday, 30 March 2015
IDARA YA UMOJA WA AKINA MAMA FPCT TEGETA WAFANYA SHANGWE NA BONGE LA SAPLAIZ (SUPRISE)
Neno la Mungu linasema ajitengea na wenzake hutaka matakwa yake mwenywe. Lakini kwa upande huohuo ni heri kuwa na uoja kuliko kujitenga. Hayo ni maneno yaliyo semwa na mwenyeki wa idara ya akina mama wa Kanisa la FPCT TEGETA MACHINJIONI Mrs Revina Majoro, jumapili ya jana wakati walipokua na hafra fupi ya kutianamoyo na kupongezana baada ya kuombeana kwa muda wa zaidi ya wiki tatu ndani ya idara hiyo.
Nduguzangu waumini na akina mama kwa ujumla ni kwa muda wa takribani wiki tatu tumekua na zoezi la kuombeana kila mwana idara akimuombea mwenzake, tuliandika majina ya wana idara nakisha tukayaweka kwenye kikapu kila mtu akawa anakuja kuchagua karatsi lenye jina,kila aliye chukua jina hilo basi alienda kuliombea/kumwomea mwenzake ili Mungu aweze kumjibumahitajiyake, kama Ndoa,afya,masomo,familia nk,tumemwona Mungu akijbu sana maombi yetu hata kabla ya kuhitimisha wiki hizi za maombi,na sasa leo ndiyo hitimisho la maombi yetu na Sasa kila mmojawetu ameandaa zawadi ya kumpongeza mwenzake. Alisema Mrs Majoro akifafanua zaidi.
Angalia na Tazama Picha namna jinsi Hafra fupi ilivyo kua siku ya janaa.

Monday, 16 March 2015
Wednesday, 11 March 2015
HUIMA..HUDUMA YA INJILI MASHULENI YAZIDI KUSHIKA KASI JIJINI DSM
Kanisa la fpct tegeta jijini Dar es salaam limekuwa na mikakati mbalimbali ili kuhakikisha kazi ya Mungu inasonga mbele lakini moja ya mikakati ni kuhakikisha injili inasambaa mashuleni na hili limeanza kufanikiwa baada ya kuanza kwenye baadhi ya shule za sekondari hapa jijini na jambo hili limekuwa likisimamiwa na mwinjilisti Jackob Lucas ambaye amekuwa akitoa huduma huku nguvu za Mungu zikionekana hasa baada ya wanafunzi wengi kufunguliwa kutoka kwenye nguvu za giza.
ENDELEA KUTAZAMA PICHA WIKI HII ILIKUWA ZAMU YA Shule ya Sekondari Kisauke
EV.Jackob Lucas akifanya maombezi
EV.Jackob Lucas Akifundisha neno la Mungu
Subscribe to:
Posts (Atom)