TAMASHA TAMASHA TAMASHA NI TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU LITAKALOFANYIKA
SIKU YA JUMAPILI TAREHE 1.11 .2015 KUANZIA SAA 9:00 Alasiri mpaka saa
12 :00 jioni NI KATIKA Kanisa La FPCT Tegeta waimbaji mbalimbali watakuwepo, Fpct tegeta praise &worship watahudumu itakuwa zaidi ya baraka ...KARIBUNI SANA Mawasiliano ni 0768061291 au 0752040012
No comments:
Post a Comment