Saturday, 20 June 2015

USIJIJIBUU.. NI SEMINA YA VIJANA ILIYOFANYIKA TAR 19/06/2015 KATIKA KANISA LA FPCT TEGETA MACHINJIONI,ANGALIA PICHA HAPAAA..

Ilikua ni siku ya pekee sana ambayo Mungu aliiandaa kwaajili ya kuwahudumia vijana walio hudhulia kwenye semina ya neno la Mungu iliyofanyika jana tar 19/06/2015 katika kanisa la fpct Tegeta- Machinjioni,
 Semina hiyo ilihudhuliwa na vijana kutoka makanisa mbalimbali,waliojitokeza kwa Wingi ili kujifunza neno la Mungu, Hakika Mungu alionekana kwa viwango vingine kabisa na  masomo  yalikua mazuri sana,ambayo yaliwafanya vijana kuuliza maswali mengi na mpaka kufikia wakati wa kukatisha muda wa maswali kwani mpka saa10alfajili bado maswli yalikua yakiulizwa.

    Kipekee sana mwalimu wa semina hiyo Mch ELIJAH MTISHIBI kutoka Tanzania alifundisha masomo mazuri sana na kufafanua kwa undani na kina maandiko katika Biblia huku akielezea mifano mbalimbali,hali iliyo amsha ari kubwa ya vijana kutamani semina iendelee mpka saa1 asubuhi.
Haya ni maombi maalum baada ya mafundisho ya semina

Kushoto ni Bw, Frank Gibebe mwkt wa idara ya vija akiwa mlezi wa Idara Mrs Mussa.

Bubujiko la maombi likiendeleaa vijana wakipata nguvu mpyaa ya maombi. 

Mwal wa semina Mch ELIJAH MTISHIBI akifanya  maombi maalum vijana waliohudhulia semina hiyo.


Mwalim wa semina Mch ELIJAH MTISHIBI mkononi akishilikia karatasi lilioandikwa maswali ya liyo kuwa yakiulizwa na baadhi ya vijana waliokuwa hawana ujasili wa kuuliza moja kwa moja'.

Baadhi ya vijana wakiendelea kumsikiliza mwalimu kwa makinisana na wengine wakiandika baadhi ya pointi mhimu/.

Mwalim wa somo Mch ELIJAH MTISHIBI akiimba wimbo wa kuabudu 

Moja ya kijana aliyeshindwa kujizuia baada ya nguvu ya Mungu kushuka katika maombezi maalum yalifayika kwenye simina hiyo na kuanza kumuita Mungu ili aweze kutenda kitu katika maisha mapya.
Sauti za vijana zikapazwa kwa Mungu

Sunday, 7 June 2015

HIVI NDIVYO SHEREHEYA UZINDUZI WA MATAWI MAPYA ILIVYO FANA

Hii ni katika ibada ya pili ya sherehe ya Uzinduzi wa matawi mawili mapya ya kanisa la FPCT- BOKO na FPCT BUNJU A, Sherehe hiyo imefanyika katika kanisa la FPCT TEGETA MACHINJIONI. Hakika Mungu ni mwema na mwaminifu katika maisha ya watuwake. Watu mbalimbali walihudhuria katika sherehe hiyo sambamba Mch Boazi Muyengo kutoka Bagamoyo aliye muwakilisha askofu mkuu wa  Jimbo la Fpct Kigoma Ask David Nkone ambaye hakuweza kuhudhuria sherehe hizo kutokana na sabababu zilizokuwa nje ya uwezowake.
Wakwanza kushoto ni Mch Boazi Muyengo akiwa na Mch J.J. Ntaseha mwenyeji wakiwa madhabahuni.
 Mchungaji ELIJAH MTISHIBI WA KANISA LA FPCT BOKO akitoa maelezo kuhusu maendeleo ya tawi analo lichunga kwa sasa. Anasema kwa msaada wa Mungu anzidi kuwa ongeza kiidadi kutoka waumini 15 hadi 36 waliopo sasa tawi hilo lina muda wa miezi5tangu kuanzishwa,.
 Huu ulikuwa ni wakati wa Chakula watumishi wa Mungu kutoka Boko na Bunju kwa Pamoja wakipata chakula.
 Mzee kiongozi wa kanisa la FPCT TEGETA na mke wa mzee wa kanisa la fpct Madale Mrs Splian
                                  Mr and Mrs Splian wakipata chakula


 Waumini wakifuatilia kwa makini namna ya sherehe inavyo endelea Madhbahuni
 Mchungaji Boazi Muyengo akitoa ufafanuzi kidogo kabla ya kuzindiwa rasmi matawi hayo na kuwabariki walezi wa matawi hayo














OOOOOOH HALLELUJAAH IBADA NZURI YA BARAKA KATIKA KANISA LA FPCT TEGETA

Ibada nzuri na ya baraka katika kanisa la fpct tegeta Dar es salaam Hakika Mungu ni mwema ni Ibada ya kupokea matawi mapya ya kanisa la fpct parishi ya tegeta ambapo ni tawi la fpct boko na fpct bunju
                                                   Muda wa sifa na kuabudu

                                            kiongozi wa ibada hiyo Faraja A Sama akitoa utaratibu
                        Mzee kiongozi Festo Labani akimkaribisha mchungaji kiongozi
                 Mchungaji kiongozi kanisa la fpct parishi ya tegeta Mch.Joram J.Ntaseha


                                    fpct tegeta praise &worship team wakitoa huduma












                   oooooooooooohh Yesu tawala kwasababu wewe ni mfalme wa wafalme