Monday, 27 April 2015
Sunday, 5 April 2015
IBADA YA PASAKA NDANI YA KANISA LA FPCT TEGETA
IBADA YA PASAKA INAENDELEA KATIKA Kanisa La FPCT Tegeta NA MTUMISHI WA MUNGU KUTOKA KIGOMA MCHUNGAJI NA MWALIMU WA CHUO CHA BIBLIA BIGABILO Mch.SAMWELI KAHASA NDIO MGENI MAALUM WA PASAKA HAKIKA NI BARAKA SANA.......Kumbuka kuwa pasaka ni ukombozi kwetu sisi wanadamu lakini pia ni upatanisho kati yetu sisi na MUNGU
Mchungaji Samweli Kahasa kutoka kigoma akifundisha Neno la Mungu kwenye ibada ya pasaka FPCT TEGETAKutoka kushoto ni mch Joram Jeremiah wa fpct tegeta akimkaribisha mch. Samweli Kahasa
Mzee kiongozi wa kanisa la fpct tegeta Mzee Festo Labani
moja ya mifano wakati neno likiendelea
Subscribe to:
Posts (Atom)